Maybe God wants us to meet a few wrong people before meeting the right one so that when we finally meet the right person, we will know how to be grateful for that gi
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohammed Shein, akijumuika na Wananchi na Waumini wa dini ya Kiislam katika mazishi ya aliyekuwa Mnikulu Shaban Ahmada Hiliki, Kijijini kwao Mfenesini Vuga Mkadani Wilaya ya Magharibui Unguja. Wananchi wakishirika katika mazishi ya Mnikulu wa Ikulu ya Zanzibar Shaban Ahmada Hilika, katika kijiji cha Vuga Mkadinim Unguja.
MKAAZI wa Kwaalimsha, Habiba Juma Ramadhani (42) amefariki dunia baada chumba alichokuwa amelala kuteketea kwa moto. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mjini Magharibi, Azizi Juma Mohammed alisema moto huo uliotokea juzi majira ya saa 2:00 pia ulimjeruhi Hassan Shaabani Idd (48), ambaye alilala katika chumba hicho. Alisema kabla ya chumba walicholala marehemu na majeruhi
Rais Jakaya kikwete katika picha ya pamoja na meza kuu na nyum yao ni washindi Fili Karashani (Lifetime achievement Award) na Neville Meena (Overall Winner) wakati wa hafla ya Tuzo ya Wanahabari Bora wa Mwaka 2011 katika ukumbi wa Diamond Jubilee jijini Dar es salaamRais Kikwete katika Picha ya pamoja na washindi wote Rais Kikwete na Meza IkuuRais Kikwete akilimzawadia Mzee Fili Karashani Rais
Habari tulizozipata sasa hivi kuwa bwana Shabani Hilika Ametutoka, Inalilah. Mnikulu Zanzibar afariki dunia MNIKULU katika Ikulu ya Zanzibar, Shaaban Ahmada Hilika, amefariki dunia leo katika hospitali ya Mnazimmoja alikokuwa amelazwa kwa matibabu. Hilika anatarajiwa kuzikwa kesho katika kijiji cha Mfenesini baada ya Sala ya Adhuhuri, na mwili wa marehemu utaondokea Amani nyumbani
mke wa Osama bin Laden umebainisha kwamba kiongozi huyo wa al Qaeda alitumia muda wake mwingi baada ya mashambulizi ya 9/11 si mafichoni katika mapango lakini waliishi katika miji ya Pakistan, ambako alihamia na pia kuzaa baadhii ya watoto wake. kusoma zaidi bonyeza link hii http://abcnews.go.com/Blotter/wife-bin-laden-hid-pakistan-decade/story?id=16037497#.T3Xta-WH
Giving someone all your love is never an assurance that they'll love you back. Don't expect love in return; just wait for it to grow in their heart but if it doesn't, be content it grew in you
17-year-old Trayvon Martin was shot and killed by a Neighborhood Watch captain inside his own gated Sanford, Florida community where he was living with his father, stepmother and little brother. I will never look suspicious to you. Even if I have a black hoodie, a pair of jeans and white sneakers on...in fact, that is what I wore yesterday...I still will never look suspicious. No
A first year aeronautical engineering student from the Kannur district in Kerala died in a private hospital in Bangalore of injuries sustained after allegedly being ragged by his seniors. The boy, a student of Chikkabellapur Shahib Engineering College, died at the hospital last night after battling burn injuries for eight days, family sources said. Ajmal was admitted to Victoria hospital
Hyderabad: Communal violence broke out in Sangareddy town of Andhra Pradesh, forcing the police to clamp indefinite curfew. Twenty people were injured and several shops were set afire in the large scale violence late on Thursday night in Sangareddy town of Medak district, about 70 km from here. The violence broke out on Thursday night when a youth allegedly posted on Facebook a provocative photograph
New Delhi: Journalist Syed Mohammed Ahmad Kazmi, arrested for his alleged role in the February 13 bomb attack at Israeli diplomat Tal Yehoshua's car, resulting in critical injuries to her, on Friday moved a Delhi court for bail. Kazmi's bail plea, filed in the court of Chief Metropolitan Magistrate Vinod Yadav, is to come up for hearing on Saturday. Court sources said Kazmi has sought bail on
Ya Allah! Guide me among those You guide. Grant me health and pardon among those You grant health and pardon, look after e among those You look after, grant me grace in what have given me, and protect me from the evilof what you have ordained; for You decree and none decrees against You, and none is abased whom You befriend. And none is exalted whom You are at enmity with. O our
Taarifa juu ya uvumi wa kuonekana kwa meli ya m.v spice iliyozama mwaka jana katika mkondo wa nungi.
Taarifa fupi juu ya uvumi wa kuonekana meli iliyozama Mkurugenzi wa Kaimu Mkurugenzi, Abdallah Kombo anaelezea uvumi huo ulivyokuwa sio wa kweli, leo alikutana na wanadishi wa habari kuelezea suala hilo katika ukumbi wa zamani wa baraza la wawakilishi la zamani pamoja na mambo mengine alikanusa suala hilo.Baada ya kulifuatilia suala hili la kuionekana meli huko Nungwi kwa njia tofauti
function googleTranslateElementInit() { new google.translate.TranslateElement({ pageLanguage: 'sw', layout: google.translate.TranslateElement.InlineLayout.SIMPLE }, 'google_translate_element'); } summary_noimg = 500; summary_img = 350; img_thumb_height = 120; img_thumb_width = 150; //![CDATA[ function
Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar imesema inatafuta mwekezaji mwengine katika eneo la Mangapwani wilaya ya kasikazini “B” Unguja baada ya Shirika la Agakhan Foundation kushindwa kuliendeleza eneo hilo ambalo walikodishwa na Serikali kwa lengo la kuliendeleza.Hayo yamesemwa leo huko Baraza La Wakilishi Zanzibar na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Mwiji Haji Makame wakati akijibu swali la Mwakilishi wa Jimbo la Kwamtipura Hamza Hassan Juma (CCM) aliyetaka kujua
Nilikua njiani naelekea ofisini kwangu, nikiwa mitaa ya Darajani Zanzibar simu yangu iliita aliyenipigia alijitambulisha na nilikua simjui, alisema yupo Mkoani Kigoma anafanya kazi shirika moja la kimataifa, alinieleza anahitaji mtu wa kushirikiana naye katika mambo ya kibiashara anayetoka Zanzibar, alidai alipatiwa namba yangu na moja kati ya rafiki zangu wanao ishi Uk, na hakutaka nimuulize niliendelea kumsikiliza. Akaanza kunielekeza anafanya Biashara ya kununua Product ambayo inahifadhi vyakula
Gari ya mizigo ikiwa imeingia ufukweni mwa bahari ya funguni ikipakia mbao zinazotoka katika jahazi wakati maji yakiwa yametoka, bandari hii hutumika kwa kushushia mizigo aina ya miti na mkaa kutoka Dar-es-Salaam, awali ushushaji wa mizigo ulikuwa ukitolewa juu baada ya ukuta wa bandari hii kuharibika kwa maji ya bahari inakuwa usumbufu
A cross section of international participants at the Star Travel.ru award ceremony in Moscow Mr. Mbarouk N. Mbarouk, HOC Embassy of Tanzania Moscow, after receiving the Star Travel.ru award for Zanzibar Star Travel.ru
Wasanii wa maigizo wa kikundi cha Valentine Arts Group cha mtaa wa Jang'ombe, juzi walinusurika kupata kipigo baada ya watu waliohudhuria onesho lao kuzusha vurugu, na wasanii hao kuokolewa na polisi. Onesho la kikundi hicho lilifanyika katika skuli ya Chumbuni kwa kutunia umeme wa jenereta kutokana na juzi Jumapili nishati hiyo kuzimwa nchi nzima kwa ajili ya matengenezo katika kituo cha Ubungo mjini Dar es Salaam.Vurugu hizo zilianza mara baada ya kuharibika kwa jenereta hali iliyosababisha kuvunjika
A doctor entered the hospital in hurry after being called in for an urgent surgery. He answered the call asap, changed his clothes and went directly to the surgery block. He found the boys father going and coming in the hall waiting for the doctor. Once seeing him, the dad yelled: Why did you take all this time to come? Dont you know that my son's
When you are really focused with what you believe and want to achieve then there is a point in life that you have to eliminate some people no matter how close they are you have to free them and it hurts but its healthy as long as they make you loose focus then they should go....come back to them when you are satisfied with your achievements....and
ZANZIBAR imefanikiwa kuwa mshindi wa kwanza na kujinyakulia tuzo ya Utalii nchini Russia kwa mwaka 2011, ‘Star Travel.ru 2011’. Tuzo hiyo hushindaniwa kila mwaka kwa maeneo yalio bora zaidi kwa shughuli za kiutalii barani Afrika, ambapo watalii na waongoza watalii wa nchi hiyo hutembelea. Akitoa taarifa kwa waandishi wa habari, Mkurugenzi Mkuu wa Kamisheni ya Utalii Zanzibar, Ali Khalil Mirza, amesema amepokea taarifa hiyo kutoka Ubalozi wa Tanzania nchini Russia, ikielezea Zanzibar kuchaguliwa
Baadhi ya Wajumbe wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar wanaoshiriki Semina ya Siku Moja inayohusu utekelezaji wa Mkuza wakisikiliza Hotuba ya Ufunguzi iliyotolewa na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi hayupo Pichani huko kwenye Ukumbi wa Hoteli ya Neptune Pwani Mchangani Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi katika