Banner 468

1234453_10201664080105694_1716282793_n
Facebook

Wanafunzi 70 Mbagala kutibiwa Muhimbili kutokana na mabomu

KARIBU wanafunzi 70 kati ya 1,000 waliobainika kuwa na matatizo mbalimbali yaliyotokana na milipuko ya mabomu iliyotokea Aprili 29 kwenye kambi ya Jeshi la Wananchi (JWTZ), Mbagala Kuu, watatibiwa kwenye Hospitali ya Taifa ya Muhimbili, Mwananchi imeelezwa. Habari ambazo Mwananchi imezipata zinaeleza kuwa baada ya kufanyika kwa uchunguzi wa watu walioathirika na milipuko hiyo, karibu wanafunzi 900

[ Read More ]

CWT, HakiElimu wasaka chimbuko la kuvuja mitihani

Chama cha Walimu Tanzania (CWT) kwa kushirikiana na asasi ya HakiElimu, wamezindua shindano la kufahamu chimbuko la kuvuja kwa mitihani ili kukusanya maoni yatakayosaidia kupata ufumbuzi wa tatizo hilo nchini. Akizungumza Dar es Salaam jana, Meneja wa Idara ya Upatikanaji wa Habari wa HakiElimu, Robert Mihayo alisema lengo la shindano hilo ni kupata mawazo na maoni ya wananchi kujua sababu za kuvuja

[ Read More ]

Barcelona mabingwa wa ulaya 2009, yaichapa Man United 2-0

MABAO ya Samuel Eto'o,dakika ya 10 ya kipindi cha kwanza na Lionel Messi, dakika ya 70 yameipa ubingwa wa tatu wa Ulaya Barcelona na kuivua ubingwa huo Manchester United. Mpira wa kwanza wa Barca, uliomaliza utawala wa dakika 10 za kwanza za mchezo huo lilifungua mlango kwa mabingwa hao wa Hispania kuonyesha dhamira ya ushindi. Eto'o, alibashiriwa mapema na mkongwe Rui Costa wa Ureno kuwa ndiye

[ Read More ]

Kikwete ashutumiwa vikali kwa kuendekeza ziara za nchi za nje

WAKATI Rais Jakaya Kikwete akirejea nchini kutoka Marekani kwa ziara ya siku takriban nane, jarida maarufu la uchambuzi wa kiuchumi, The Economist limehoji safari za mkuu huyo wa nchi, likisema kuwa anatumia muda mwingi katika kutangaza jina la nchi nje badala ya kutatua matatizo ya ndani. Kikwete, ambaye alikuwa Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa

[ Read More ]

Huu ndio mguu bandia

Mtaalamu wa tibamaungo wa Kituo cha Tiba cha Kijeshi cha Walter Reedy jijini Washington, DC, Marekani, Annette Bergenon, akimwonyesha Rais Jakaya Kikwete jinsi mguu bandia unavyofanya kazi, wakati Rais alipotembelea kituo hicho hivi karibuni.Wanaoshuhudia kushoto, ni Dk. Mohamed Janabi wa Chuo Kikuu cha Afya na Tiba Muhimbili (MUCHS) na Waziri wa Kazi, Vijana,Wanawake na Watoto wa Zanzibar, Asha Juma,

[ Read More ]

JK kuongoza mkutano wa kujadili kilimo

Rais Jakaya Kikwete wiki ijayo ataongoza mkutano wa kujadili kilimo kuwa nguzo kuu ya uchumi wa Tanzania. Mkutano huo wa siku mbili ulioandaliwa na Baraza la Biashara la Taifa (TNBC), pia utahudhuriwa na Rais wa Zanzibar, Amani Abeid Karume, Waziri Mkuu Mizengo Pinda, mawaziri, wakuu wa mikoa, wajumbe wa baraza hilo, wawekezaji wa ndani, wadau wa maendeleo, wasambazaji wa mazao na wasindikaji. Akizungumza

[ Read More ]

Wabunge waondolewa ulaji

Wabunge wameanza kunyang’anywa sehemu ya ulaji kutokana na Benki Kuu ya Tanzania (BoT) kutoa waraka unaowaelekeza wabunge wote ambao ni wajumbe kwenye bodi za mashirika na taasisi za fedha kuondolewa mara moja. Hatua hiyo inatokana na ushauri uliotolewa na Mkaguzi na Mdhibiti Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) kushauri wabunge wasiwe wajumbe wa mashirika yoyote ya umma, ili kuondoa mgongano wa maslahi.

[ Read More ]

UN yalaani hatua ya Korea Kaskazini

Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa baada ya kukutana kwa dharura, hatimaye limeshutumu vikali hatua ya Korea Kaskazini kufanya jaribio la kinyuklia. Baraza hilo lilikutana kwa dharura saa chache tu baada ya jaribio hilo kufanywa na limeonya hatua kali zitachukuliwa dhidi ya Korea Kaskazini. Kauli ya Baraza la

[ Read More ]

Uchumi wa Afrika kusini umekumbwa na mdororo

Uchumi wa Afrika kusini umekumbwa na mdororo kwa mara ya kwanza tangu mwaka 1992, kufuatia kupungua kwa kasi ya uzalishaji viwandani halikadhalika sekta ya madini. Uchumi wa nchi yenye Uchumi bora barani Africa imerekodi upungufu wa kiwango cha hadi asili mia 6.4% kati ya mwezi Januari na March, ikilinganishwa na kipindi kama hiki mwaka jana.

[ Read More ]

Wahasibu watakiwa kuwania CPA

Wahitimu wa Uhasibu na Fedha wa Chuo Kikuu Mzumbe (MU), wameshauriwa kujiendeleza kwa kufanya mitihani ya juu ya Uhasibu (CPA) na baadaye kusajiliwa katika Bodi ya Uhasibu (NBAA) ili watambulike wanataaluma. Changamoto hiyo ilitolewa na Meneja wa Mfuko wa Pensheni wa Mashirika ya Umma (PPF), Kanda ya Mashariki na Kati, Meshack Bandawe, wakati wa hafla maalumu ya wanafunzi wanaotarajia kumaliza masomo

[ Read More ]

Dereva wa teksi ashikiliwa kwa gari kutumika katika ujambazi

Polisi mkoani Singida inamshikilia dereva teksi kwa kosa la gari lake kuhusika na uporaji wa fedha Sh milioni nne mali ya mfanyabiashara wa alizeti, na baadaye kuvamia baa ya Kairo mjini hapa, na kutoweka na mauzo ya siku nzima. Kwa mujibu wa Kamanda wa Polisi mkoani Singida, Celina Kaluba matukio hayo yalitokea Jumanne na Jumatano wiki iliyopita katika eneo la Kibaoni na Mitunduruni katika Manispaa

[ Read More ]

SMZ yashutumu wahasibu wa kigeni kwa ukwepaji kodi

Wizara ya Fedha na Uchumi Zanzibar imewatuhumu wahasibu wa kigeni wanaofanya kazi nchini kwa kushirikiana na wawekezaji kukwepa kulipa kodi na hivyo kuikosesha serikali mapato. Akizungumza katika ufunguzi wa semina kwa jumuiya ya wahasibu na wakaguzi wa hesabu iliyofanyika jana mjini hapa, Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Fedha na Uchumi, Abdi Khamisi Faki alisema zipo dalili zinazoashiria kuwa wahasibu

[ Read More ]

Nusu ya wajawazito Singida wanajifungulia majumbani

Zaidi ya asilimia 50 ya wanawake wajawazito mkoani Singida hujifungulia majumbani na kwa wakunga wa jadi, hali inayohatarisha usalama wa maisha yao na watoto wanaozaliwa. Hayo yalibainishwa na daktari bingwa wa magonjwa ya wanawake na uzazi Mkoa wa Singida, Dk. Christopher Mgonde kwenye mafunzo ya kuokoa maisha ya mama na mtoto wakati wa kujifungua. Dk. Mgonde alisema ingawa takwimu zinaonyesha kuwa

[ Read More ]

Watumishi Mahakama Kisutu waomba ulinzi

Watumishi wa Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, wameiomba Serikali kuimarishia ulinzi katika eneo la mahakama hiyo na wao binafsi. Maombi hayo yalitolewa jana na watumishi hao, mbele ya Waziri wa Sheria na Katiba, Mathias Chikawe, alipotembelea mahakama hiyo. Akizungumza kwa niaba ya watumishi hao, Hakimu Mkuu Mfawidhi wa Mahakama hiyo, Addy Lyamuya, aliiomba serikali kupitia kwa Chikawe, kuwaimarishia

[ Read More ]

Kortini wakitaka kuiba Sh bilioni 6 za Stanbic

Watu wawili wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Dar es Salaam, wakikabiliwa na mashitaka ya kula njama za kutaka kuiba zaidi ya Sh bilioni 6 mali ya Benki ya Stanbic. Akisoma mashitaka jana mbele ya Hakimu Nyigumalila Mwaseba, Mwendesha Mashitaka, Epifras Njau, alidai kuwa washitakiwa hao walikula njama za udanganyifu ili kutaka kuiba kiasi hicho cha fedha, jambo ambalo ni kinyume

[ Read More ]

Majambazi waua askari 2 Zanzibar

Askari wawili wa Kikosi cha Valantia kinachomilikiwa na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar (SMZ), wameuawa na majambazi wakati wakilinda kituo cha mafuta cha Mwanakwerekwe mkoa wa Mjini Magharibi kisiwani Unguja. Askari waliouawa ni Taibani Mikidadi Ali (23) na Juma Mcha Ali (25) ambao walijeruhiwa na majambazi hao kwa risasi kichwani na kifuani.Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Mjini Magharibi, Bakari

[ Read More ]

CCM YAIBUA USHINDI BUSANDA

Mgombea wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Lolesia Bukwimba, ametangazwa kuwa Mbunge Mteule wa Jimbo la Busanda, baada ya kuwashinda wagombea wa vyama vingine vilivyokuwa vikishiriki uchaguzi huo mdogo wilayani Geita.Mgombea huyo alitangazwa jana kwa kupata kura 29,242 wakati Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), ambacho hata hivyo kiliyakataa matokeo, kilishika nafasi ya pili kwa kupata kura 22,799.

[ Read More ]

Rais wa Marekani Barack Obama kuibadili sura ya Marekani katika ulimwengu wa Kiarabu.

Rais wa Marekani Barack Obama ana fursa nzuri kuibadili sura ya Marekani katika ulimwengu wa kiarabu, lakini hata hivyo ana muda mfupi wa kufanya hivyo kulingana na maoni kutoka kwa umma yaliyotokana na utafiti uliofanywa katika nchi za Misri, Jordan, Lebanon,Morocco, Saudi Arabia pamoja na miliki ya nchi za kiarabu. Utafiti huo uliotolewa siku ya jumannne ulionyesha kuwa asilimia arobaini na tano

[ Read More ]

Waziri mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu asisitiza kuwa Jerusalem utasalia kuwa mji mkuu wa Israel.

Waziri mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu ameapa hii leo kuwa mji wa Jerusalem utasalia kuwa mji wa Israel milele huku Israel ikiadhimisha miaka arobaini na mbili baada ya kulichukua kwa nguvu eneo la mashariki la mji huo lenye wakaazi wengi wa kiarabu. Jerusalem ni mji mkuu wa Israel, umekuwa tangu hapo na utasalia hivyo milele, na kamwe hautagawanwa, alisema waziri mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu

[ Read More ]

Maadhimisho ya miaka 60 ya Shirikisho la Jamhuri ya Ujerumani

Rais Horst Köhler wa Ujerumani amesema kwamba Ujerumani imestawi kuwa nchi yenye uwazi na ya kimataifa katika historia yake ya miaka 60. Rais Köhler amesema hayo mjini Berlin leo katika maadhimisho ya miaka 60 tokea kuundwa kwa shirikisho la Jamhuri ya Ujermani. Amesema katika miaka 60 iliyopita Ujerumani limekuwa taifa lenye uwazi kwa dunia .Ameeleza kuwa Ujerumani imeshiriki

[ Read More ]

Japan fetes Wangari Maathai

Nobel Laureate Wangari Maathai this week became the first Kenyan to receive the highest decoration from the Government of Japan for her campaign to protect the environment.Prof Maathai, a former assistant minister for the Environment and the head of the Greenbelt Movement, was decorated with “the Grand Cordon of the Order of the Rising Sun” in honour of her significant contribution in raising people’s

[ Read More ]

Food crisis whets EA’s appetite for GM crops

Worsening cereal production worldwide is swaying African countries to genetically modified crops. Research concluded last December shows that in developing countries — excluding Brazil, China and India — cereal production has fallen by 1.6 per cent. This has worsened the global food prices and posted a deeper shock to world economies.Many African countries are now switching from organic to GM crop

[ Read More ]

Obama cuts HIV funding, risks 1m lives

The lives of millions of Africans living with HIV/Aids are at risk following President Barack Obama’s underfunding of bilateral HIV/Aids programmes — among them the crucial President’s Emergency Plan for Aids Relief (Pepfar) and the Global Fund to Fight HIV/Aids, Tuberculosis and Malaria. The Obama administration’s $3.6 trillion budget, released on May 7, created a $3.3 billion hole in US bilateral

[ Read More ]

NSSF undecided over return to bourse

Indecision and fear have delayed the much awaited return of Uganda’s National Social Security Fund to the local bourse even after the Ministry of Finance, Planning and Economic Development allowed the Fund to resume investment activities in its real estate and equity business.Market sources who spoke to The EastAfrican revealed that the NSSF board and senior management are apparently undecided on

[ Read More ]

Iran says foreign troops no help to region's security

TEHRAN (Reuters) - Iranian President Mahmoud Ahmadinejad attacked the presence of foreign forces in the region at a summit with his Afghan and Pakistani counterparts on Sunday aimed at tackling terrorism and other security problems. In separate comments underscoring the Islamic Republic's deep mistrust of the United States, Supreme Leader Ayatollah Ali Khamenei told Afghanistan's Hamid Karzai

[ Read More ]

11 wafariki katika tamasha Morocco

Watu wasiopungua 11 wamefariki katika mji mkuu wa Morocco, Rabat, baada ya kukanyagana katika tamasha ya kimataifa ya muziki ya Mawazine. Kulingana na waandishi habari, inadhaniwa kwamba watu wengine 40 walijeruhiwa baada ya uzio wa senyenge kuporomoka. Tukio hilo lilifanyika usiku wa Jumamosi, wakati zaidi ya watu 70,000 walijaa pomoni katika uwanja

[ Read More ]

Kashfa ya Richmond kuibuka tena bunge lijalo

PAMOJA na macho na masikio ya Watanzania kuelekezwa bungeni kwa ajili ya bajeti ya serikali mapema mwezi ujao, kashfa ya Richmond iliyotikisa nchi mwaka jana itaibuka tena, safari hii serikali ikieleza ilipofikia katika utekelezaji wa maazimio 23 ya bunge. Bunge lililotoa maazimio hayo na kuitaka serikali kuyatekeleza, lakini zoezi hilo limekuwa likisuasua na mara kwa mara kuibua maswali, hasa katika

[ Read More ]

AGNES; Alichemsha kidato cha nne na ‘kutingisha’ Taifa kidato cha sita

[ Read More ]

Busanda kukata mzizi wa fitina leo

Uchanguzi mdogo wa ubunge katika Jimbo la Busanda, wilayani Geita, mkoani Mwanza, unafanyika leo baada ya hekaheka za kampeni za takribani siku 20 huku Tume ya Uchaguzi (NEC) ikiviasa vyama vinavyohusika kuheshimu kanuni na sheria kwa kuepuka vurugu. Mwenyekiti wa Tume, Jaji Lewis Makame, jana alisema kwamba NEC ilipata taarifa juu ya kuwapo mchezo mchafu wakati wa kampeni na alivitaka vyama vya siasa

[ Read More ]